Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   Word!.    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

22869  ZEP 1:13  Mali zao zitakuja kuporwa, na nyumba zao zitakuwa zimetelekezwa kwa maangamizi!. Watajenga nyumba lakini hawataishi humo, na kupanda mizabibu lakini hawatakunywa mvinyo wake.
22878  ZEP 2:4  hivyo Gaza utatelekezwa, na Ashkeloni utageuka kuwa uharibifu. Watauondoshea mbali Ashdodi wakati wa mchana, na wataung'oa Ekroni!.
22904  ZEP 3:15  Yahwe ameiondoa hukumu yako; amewafukuzia mbali adui zako! Yahwe ni mfalme wa Israeli miongoni mwenu. Kamwe hamtamwogopa tena mwovu!.