1715 | EXO 7:29 | Vyura watakushambulia wewe, watu wako, na watumishi wako wote."”' |
1748 | EXO 9:5 | Yahweh ametenga muda; amesema, “Ni kesho ambapo nitafanya ilitukio katika nchi."”' |
1762 | EXO 9:19 | Kisha sasa, tuma wanaume na ukusanye mifugo yako na vitu vyote ulivyo navyo mashambani sehemu salama. Kila mtu na mnyama aliyeko shambani na hajaletwa nyumbani - mawe ya barufu yatawashukia, na watakufa."”' |
10072 | 2KI 19:7 | Tazama, nitaweka roho ndani yake, na yamkini atasikia taarifa na kurudi kwenye nchi yake mwenyewe. Nitamfanya aanguke kwa upanga katika nchi yake mwenyewe."”' |
10108 | 2KI 20:6 | Nitakuongeza miaka kumi na tano ya maisha yako, na nitakulinda na huu mji kwa ajili yangu na kwa ajili ya mtumishi wangu."”' |