17844 | ISA 6:5 | Ndipo nikasema,'' Ole wangu'' ninastahili adhabu maan mimi ni mtu mwenye midomo michafu, na ninaishi na watu wenye midomo michafu, maana macho yangu yamemuona Mfalme, Yahwe, Yahwe wa majeshi.'' |
18254 | ISA 28:20 | Maana kitanda ni kifupi kwa mtu kunyoosha mkono wake nje, na blangeti ni jembamba kwa yeye kujizungushia ndani'' |
18717 | ISA 49:11 | Na nitafanya milima yote kuwa barabara, na kufanya njia za juu kuwa sawa'' |
23560 | MAT 12:2 | Lakini Mafarisayo walipoona hayo, wakamwambia Yesu “Angalia wanafunzi wako wanavunja sheria wanatenda siku yasiyo yuhusiwa siku ya Sabato'' |
23877 | MAT 20:16 | Hivyo wa mwisho atakuwa kwanza na wa kwanza wa mwisho'' |