Wildebeest analysis examples for: swh-swhulb 'Word:
February 11, 2023 at 19:39
Script wb_pprint_html.py by Ulf Hermjakob
11607
2CH 20:15
Yahazieli akasema, “Sikilizeni, Yuda wote na ninyi wakaaji wa Yerusalemu, na Mfalme Yehoshafati. Hivi ndivyo Yahwe asemavyao kwenu,
'Msiogope:
msivunjike moyo kwa sababu ya hili jeshsi kubwa, kwa maana vita siyo yenu, bali ni ya Mungu.