2630 | EXO 37:25 | Sasa akafanya madhabahu ya uvumba+ kutokana na mbao za mshita. + Mkono mmoja urefu wake na mkono mmoja upana wake, ikiwa mraba, na mikono miwili kimo chake. Pembe zake zilitoka kwake. |
2658 | EXO 38:24 | Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi katika kazi yote ya mahali patakatifu ikawa jumla ya dhahabu ya toleo la kutikisa, + talanta ishirini na tisa na shekeli 730 kulingana na shekeli+ ya mahali patakatifu. |
2665 | EXO 38:31 | na vile vikalio vya ua kuzunguka pande zote, na vile vikalio vya lango la ua, na misumari yote ya maskani na misumari+ yote ya ua kuzunguka pande zote. |
2705 | EXO 39:40 | Wakaleta mapazia ya ua, nguzo zake na vikalio vyake na kile kisitiri+ kwa ajili ya lango la ua, kamba zake za hema na misumari yake ya hema na vyombo vyote kwa ajili ya utumishi wa maskani, kwa ajili ya hema ya kukutania. |