|
2630 | Sasa akafanya madhabahu ya uvumba+ kutokana na mbao za mshita. + Mkono mmoja urefu wake na mkono mmoja upana wake, ikiwa mraba, na mikono miwili kimo chake. Pembe zake zilitoka kwake. | |
2634 | Tena akafanya yale mafuta yanayotumiwa kutia mafuta na ule uvumba safi uliotiwa manukato, + kazi ya mtengenezaji wa marhamu. | |
2658 | Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi katika kazi yote ya mahali patakatifu ikawa jumla ya dhahabu ya toleo la kutikisa, + talanta ishirini na tisa na shekeli 730 kulingana na shekeli+ ya mahali patakatifu. |