109 | GEN 5:3 | Wakati Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, akamzaa mwana katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake, na akamuita jina lake Sethi. |
112 | GEN 5:6 | Wakati Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. |
120 | GEN 5:14 | Kenani aliishi miaka 910, na kisha akafariki. |
124 | GEN 5:18 | Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, alimzaa Henoko. |
131 | GEN 5:25 | Wakati Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, alimzaa Lameki. |
134 | GEN 5:28 | Wakati Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. |
1854 | EXO 12:37 | Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesi kwenda Sakothi. Walikuwa na idadi ya wanaume 600, 000 kwa miguu, kuongezea kwa wanawake na watoto. |
1858 | EXO 12:41 | Baada ya miaka 430, siku hiyo hiyo, majeshi yote ya Yahweh yalio jiami waliondoka kutoka nchi ya Misri. |
2406 | EXO 30:23 | “Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri 250, na kane shekeli 250 |
2659 | EXO 38:25 | Nayo fedha ya wale walioandikishwa kati ya kusanyiko ilikuwa talanta mia moja na shekeli 1, 775 kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, |
2660 | EXO 38:26 | ile nusu shekeli kwa ajili ya mtu mmoja ilikuwa nusu shekeli kulingana na shekeli ya mahali patakatifu,. Kwa kila mtu aliyekuwa akipita kuingia upande wa wale waliokuwa wameandikishwa kuanzia miaka ishirini na zaidi, jumla ya watu 603, 550. |
2662 | EXO 38:28 | Na kutokana na zile shekeli 1, 775 alifanyiza vibanio vya nguzo na kuvifunika sehemu yake ya juu na kuviunganisha pamoja. |
2663 | EXO 38:29 | Nayo shaba ya toleo la kutikisa ilikuwa talanta sabini na shekeli 2, 400. |
3626 | NUM 1:21 | Waliwahesabu wanaume 46, 000 kutoka ukoo wa Reubeni. |
3628 | NUM 1:23 | Walihesabu wanaume 59, 300 kutoka kabila la Simeoni. |
3630 | NUM 1:25 | Walihesabu wanaume 45, 650 kutoka kabila la Gadi. |
3632 | NUM 1:27 | walihesabiwa wanume 74, 000 kutoka kabila la Yuda. |
3634 | NUM 1:29 | Walihesabiwa wanaume 54, 000 kutoka kabila la Isakari. |
3636 | NUM 1:31 | Walihesabiwa wanume 57, 400 kutoka kabila la Zabuloni. |
3638 | NUM 1:33 | Walihesabiwa wanaume 40, 500 kutoka kabila la Efraimu. |
3640 | NUM 1:35 | Walihesabiwa wanaume 32, 000 kutoka kabila la Manase. |
3642 | NUM 1:37 | Walihesabiwa wanaume 35, 000 kutoka kabila la Benjamini. |
3644 | NUM 1:39 | Walihesabiwa wanaume 62, 000 kutoka kabila la Dani. |
3646 | NUM 1:41 | Walihesabiwa wanaume 41, 500 kutoka ukoo wa Asheri. |
3648 | NUM 1:43 | Walihesabiwa wanaume 53, 400 kutoka kabila la Naftari |
3651 | NUM 1:46 | Walihesabu wanaume 603, 550. |
3663 | NUM 2:4 | Idadi ya watu wa Yuda ni 74, 600. |
3665 | NUM 2:6 | Idadi ya kikosi chake ni wanaume 54, 000. |
3667 | NUM 2:8 | Idadi ya kikosi chake ni 57, 400. |
3668 | NUM 2:9 | Idadi yote ya kambi y a Yuda ni 186, 400. Watakuwa wa kwanza kuondoka. |
3670 | NUM 2:11 | Idadi ya kikosi chake ni 46, 500. |
3672 | NUM 2:13 | Waliohesabiwa kwenye kikosi chake ni 59, 300. |
3674 | NUM 2:15 | Idadi ya kikosi chake ni 45, 650. |
3675 | NUM 2:16 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Reubeni, kulingana na kikosi chake, ni 151, 450. Watakuwa wa pili kuondoka. |
3678 | NUM 2:19 | Hesabu ya kikosi hiki ni 40, 500. |
3680 | NUM 2:21 | Hesabu ya kikosi hiki ni 32, 200. |
3682 | NUM 2:23 | Hesabu ya kikosi hiki ni 35, 000 |
3683 | NUM 2:24 | Wote waliohesabiwa katika kambi ya Efraimu ni 108, 100. Watakuwa wa tatu kuondoka. |
3685 | NUM 2:26 | Hesabu ya kikosi hiki ni 62, 700. |
3687 | NUM 2:28 | Hesabu ya Kikosi hiki ni 41, 500. |
3689 | NUM 2:30 | Hesabu ya kikosi hiki ni 53, 400. |
3690 | NUM 2:31 | Wote waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157, 600. Hawa watakuwa wa mwisho kuondoka kambini, wakifuata bango lao. |
3691 | NUM 2:32 | Hawa ndio Waisraeli, waliohesabiwa kufuata familia zao. Wote waliohesabiwa kwenye kambi zao, kwa kufuata vikosi vyao ni 603, 550. |
3715 | NUM 3:22 | Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa na kufikia idadi ya 7, 500. |
3721 | NUM 3:28 | Wanaume 8, 600 wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa ili kulinda vitu vya BWANA. |
3727 | NUM 3:34 | Wanaume 6, 200 wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi walihesabiwa. |
3736 | NUM 3:43 | Aliwahesabu wazaliwa wote wa kwanza kwa mjina, wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi. Alihesabu wanaume 22, 273. |
3743 | NUM 3:50 | Musa akakusanya zile fedha kutoka kwa hao wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli. Alikusanya jumla ya shekeli 1, 365, zenye kipimo sawa na mahali patakatifu. Musa akamlipa Haruni na wanawe hizo shekeli za wokovu. |
3780 | NUM 4:36 | Waliwahesabu wanaume 2, 750 kwa kufuata koo zao. |
3784 | NUM 4:40 | Wanaume wote waliohesabiwa kufuata koo na familia za mababu zao walikuwa 2, 630. |
3792 | NUM 4:48 | Waliwahesabu wanaume 8, 580. |
3876 | NUM 7:25 | Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha lenye uzito wa shekeli sabini kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. vyombo vyote hivi vilikuwa vimeja unga mwembemba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. |
3936 | NUM 7:85 | Zile sahani za fedha kila moja ilikuwa na uzani wa shaekeli 130 na kila bakuli ye fedha ilikuwa na uzani wa shekeli sabini. Vyombo vyote vya fedh vilikuwa na ujumla ya uzani wa shekeli 2, 400, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. |
4046 | NUM 11:21 | Kisha Musa akasema, “Mimi nina watu 600, 000, na wewe umesema, “Nitawapa nyama mle kwa mwezi mmoja,' |
4244 | NUM 17:14 | Idadi ya wale waliokuwa wamekufa kwa tauni walikuwa14, 000, nje na wale waliokufa kutokana na swala la Kora. |
4498 | NUM 26:7 | Hizi ndizo zilikuwa koo za uzao wa Reubeni, ambzo idadi yao ilikuwa wanaume 43, 730. |
4501 | NUM 26:10 | Pale ambapo dunia ilifungua kinywa na kuwameza pamoja na Kora wakati ambapo wafuasi wa Kora walikufa. Wakati ule, moto uliteketeza wanaume 250, amboa wlikuwa ishara ya onyo. |
4505 | NUM 26:14 | Hizi ndizo koo za uzao wa Simeoni, idadi yao ilikuwa wanaume 22, 200. |
4509 | NUM 26:18 | Hizi ndizo koo za uzao wa Gadi, idadi yao walikuwa wanaume 40, 500. |
4513 | NUM 26:22 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda, idadi yao ilikuwa wanaume 76, 500. |
4516 | NUM 26:25 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Isakari, Idadi yao ilikuwa wanaume 64, 300. |
4518 | NUM 26:27 | Hizi ndizo zilikuwa koo za Zabuloni, idadi y ao ilikuwa wanaume 60, 500. |
4525 | NUM 26:34 | Hizi ndizo koo za Manase, idadi yao ilikuwa wanaume 52, 700. |
4528 | NUM 26:37 | Hizi ndizo koo za uzao wa Efraimu, idadi yao ilikuwa wanaume 32, 500. Huu ndio uzao wa Yusufu, uliohesabiwa toka kila koo zao. |
4532 | NUM 26:41 | Hizi ndizo koo za uzao wa Benjamini. Idadai yao ilikuwa wanaume 45, 600. |
4534 | NUM 26:43 | Idadi ya koo zote za Washuhamu ilikuwa wanaume 64, 400. |
4538 | NUM 26:47 | Hizi ndizo koo za uzao wa Asheri, idadi yao ilikuwa wanaume 53, 400. |
4541 | NUM 26:50 | Hizi ndizo zilizokuwa koo za uzao wa Naftali, idadi yao walikuwa wanaume 45, 000. |
4542 | NUM 26:51 | Hii ndiyo iliyokuwa jumla kuu ya wanaume wa Israeli: 601, 730. |
4698 | NUM 31:32 | Sasa zile nyara zilizokuwa zimebaki ambazo wanajeshi walikuwa wameteka zilikuwa kondoo 675, 000, |
4702 | NUM 31:36 | Ile hesabu ya nusu iliyokuwa imetunzwa kwa ajili ya wanajeshi ilikuwa kondoo 337, 000. Ile sehemu ya |
4705 | NUM 31:39 | Punda walikuwa 30, 500 ambao sehemu ya BWANA ilikuwa sitini na moja. |
4709 | NUM 31:43 | ile nusu y a watu ilikuwa kondoo 337, 500, |
4711 | NUM 31:45 | punda 30, 500, |
4718 | NUM 31:52 | Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA- sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16, 750. |
6731 | JDG 8:10 | Sasa Zeba na Salmuna walikuwa huko Karkori pamoja na jeshi lao, karibu na watu elfu kumi na tano, wote waliosalia nje ya jeshi lote la watu wa Mashariki, kwa kuwa walianguka watu 120, 000 waliofundishwa kupigana na upanga. |
6747 | JDG 8:26 | Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilikuwa shekeli 1, 700 za dhahabu. Nyara hizi zilikuwa ni pamoja na mapambo ya makoja, vidani, nguo ya rangi ya zambarau waliyovaa na wafalme wa Midiani, na zaidi ya minyororo iliyokuwa karibu na shingo za ngamia zao. |
6956 | JDG 16:5 | Wale wakuu wa Wafilisti wakamwendea, wakamwambia, “mdanganye Samsoni ili uone mahali zilipo nguvu zake kuu, na kwa namna gani tunaweza kumshinda, ili tumfunge na kumtesa. Fanya hili, na kila mmoja wetu atakupa vipande 1, 100 vya fedha.” |
6984 | JDG 17:2 | Akamwambia mama yake, “Shilingi 1, 100 za fedha ambazo zilichukuliwa kutoka kwako, ambazo ulizungumza kwa kiapo, na kuniambia-tazama hapa! Ninazo fedha pamoja nami. Nimeziiba.” Mama yake akasema, 'Na Bwana atakubariki, mwanangu!' |
6985 | JDG 17:3 | Alirejesha vipande 1, 100 vya fedha kwa mama yake na mama yake akasema, “Nimeweka fedha hii kwa Bwana, kwa ajili ya mwanangu kuifanya na kuchonga takwimu za chuma. |
7058 | JDG 20:2 | Viongozi wa watu wote, wa kabila zote za Israeli, wakachukua nafasi zao kwenye kusanyiko la watu wa Mungu-watu 400, 000 waendao kwa miguu, ambao walikuwa tayari kupigana na upanga. |
7073 | JDG 20:17 | Watu wa Israeli, bila kuhesabu namba kutoka kwa Benyamini, walikuwa na watu 400, 000 waliokuwa wamejifunza kupigana na upanga. Wote hawa walikuwa watu wa vita. |
7091 | JDG 20:35 | Bwana akamshinda Benyamini mbele ya Israeli. Siku hiyo, askari wa Israeli waliwauawa watu wa Benyamini 25, 100. Wote hawa waliokufa walikuwa wale waliokuwa wamejifunza kupigana na upanga. |
8216 | 2SA 8:4 | Daudi aliteka magari 1, 700 ya farasi na askari ishirini elfu waendao kwa miguu. Daudi akawakata miguu farasi wa magari, lakini akahifadhi wakutosha magari mia moja. |
8704 | 2SA 24:9 | Ndipo Yoabu alipotoa taarifa ya hesabu kamili kwa mfalme kuhusu watu wawezao kupigana vita. Katika Israeli kulikuwa na watu 800, 000 jasiri wawezao kutoa upanga, na wale wa Yuda walikuwa watu 500, 000. |
8897 | 1KI 5:30 | zaidi ya hao, walikuwepo maakida 3, 300 ambao pia waliokuwa wakiisimamia hiyo kazi. |
8901 | 1KI 6:2 | Hekalu ambalo mfalme Sulemani alimjengea BWANA lilikuwa na urefu wa mita 27, na upana wa mita 9, na kimo cha mita 13. 5. |
8905 | 1KI 6:6 | Kile chumba cha chini kilikuwa na upana wa mita 2. 3, kile cha kati kilikuwa na upana wa mita 2. 8. na kile cha tatu kilikuwa na upana wa mita 3. 2. upande wa nje akaupunguza ukuta wa nyumba pande zote, ili boriti zisishikamane ukutani mwa nyumba. |
8919 | 1KI 6:20 | Kile chumba cha ndani kilikuwa na upana wa mita 9, na kimo cha mita 9. Sulemani alizifunika kuta kwa dhabahu na madhabahu aliifunika kwa mbao za mierezi. |
8939 | 1KI 7:2 | Aliijenga ikulu iliyoitwa mwitu wa Lebanoni. Urefu wake ulikuwa mita 46, na upanawake ulikuwa mita 23, na kimo chake kilikuwa mita 14. Nayo ilikuwa na safu nne ya nguzo za mierezi na mithili ya mwerezi juu ya nguzo. |
8960 | 1KI 7:23 | Tena akafanya bahari ya kusubu ya, yenye mita 2. 3 kutoka ukingo hadi ukingo, kimo chake kilikuwa mita 4. 6, mziingo wake ulikuwa mita 13. 7. |
8964 | 1KI 7:27 | Huramu akatengeneza makalio kumi ya shaba. Kila kalio lilkuwa na urefu wa mita 1. 8, upana wa mita 1. 8, na kimo cha mita 1. 3. |
9051 | 1KI 8:63 | Sulemani akatoa sadaka ya amani, ambayo aliifanya kwa BWANA: Nayo ilikuwa makisai elfu ishirini na mbili, na kondoo 120, 000. Kwa hiyo mfalme na watu wa Israeli wakaiweka wakfu nyumba ya BWANA. |
9077 | 1KI 9:23 | Hawa ndio waliokuwa maakida wakuu waliokuwa wakiwasimamia kazi za Sulemani, watu 550, walikuwa wasimamizi wa watu waliokuwa wakifanya kazi. |
9108 | 1KI 10:26 | Sulemani alikusanya pamoja magari n a wapanda farasi. Alikuwa na magari 1, 400 na wapanda farasi elfu kumi na mbili ambao alikuwa amewaweka kwenye miji ya magari pamoja naye Yerusalemu. |
9440 | 1KI 20:29 | Kwa hiyo majeshi yakaweka kambi yakikabiliana kwa muda wa siku saba. Kisha siku ya saba vita vikaanza. Watu wa Israeli wakawaua Washami 100, 000 wanajeshi wa ardhini kwa siku moja. |
9584 | 2KI 3:4 | Basi Mesha mfalme wa Moabu alifuga kondoo. Alikuwa akimpatia mfalme wa Israeli kondoo 100, 000 na manyoya ya kondoo dume 100, 000. |
10453 | 1CH 5:21 | Walikamata wanya wao, pamoja na ngamia elfu hamsini, kondoo 250, 000, punda elfu mbili, na wanaume 100, 000. |
10541 | 1CH 7:2 | Wana wa Tola walikuwa Uzi, Refaia, Yerie, Yamai, Ibisami, Shemueli. Walikua vichwa katika nyumba za baba yao, toka uzao wa Tola na waliorodheshwa kama mashujaa hodari miongoni mwa kizazi chao. Katika siku za Daudi walikua na idadi ya 22, 600. |
10546 | 1CH 7:7 | Wana watano wa Bela walikuwa Ezibono, Uzi, Uzieli, Yerimoti, na Iri. Walikua ni wanajeshi na waanzilishi wa koo. Watu wao walikuwa na idadi ya wanaume wa vita 22, 034, kwa mujibu wa orodha zilizomilikiwa na koo za mababu zao. |