Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   '“Word,    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

10107  2KI 20:5  '“Rudi, na umwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, 'Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Daudi babu yako, asemavyo: “Nimesikia maombi yako, na nimeyaona machozi yako. Nitakuponya katika siku ya tatu, na utapanda juu kwenye nyumba ya Yahwe.