Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   -Word!    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

28975  2CO 6:9  Tunafanya kazi kana kwamba hatujulikani na bado tunajulikana vizuri. Tunafanya kazi kama wanaokufa na -Tazama! - bado tunaishi. Tunafanya kazi kama tunaoadhibiwa kwa ajili ya matendo yetu lakini sio kama waliohukumiwa hata kufa.