|
12117 | Hivyo wakamkaribia Zerubabeli na wakuu wa jamii yao. Wakawaambia,: Mturuhusu tujenge pamoja nanyi, kama ninyi, tunamtafuta mungu wenu, na tumejitoa kwake tangu siku ambapo, Esar-hadoni, mfalme wa Ashuru alipotuleta mahali hapa.” | |
19445 | Bwana akaniambia hivi,: “Nenda ukasimame katika lango la watu ambako wafalme wa Yuda wanaingia na kutoka, basi katika malango mengine yote ya Yerusalemu. |