4979 | DEU 3:2 | Yahwe aliniambia mimi, “Usimuogope; kwa kuwa nimekupa ushindi dhidi yake na nimewaweka watu wake wote na nchi yake chini ya utawala wako. Utamfanya kama ulivyomfanya Sihoni, mfalme wa Amorites, aliyeishi Heshbon. |
6005 | JOS 8:1 | Yahweh akamwambia Yoshua, “Usiogope; usivunjike moyo. Chukua pamoja nawe watu wa vita. Pandeni kwenda Ai. Tazama nimemtia mkononi mwako mfalme wa Ai, watu wake, mji wake na nchi yake. |
7283 | 1SA 3:5 | Samweli alimwedea Eli na kusema, “Niko hapa, sababu uliniita.” Eli akasema, “Sikukuita; kalale tena.” Hivyo Samweli akarudi na kulala. |
7405 | 1SA 9:12 | Nao wakawajibu, na kusema, “Yupo; tazameni, yuko mbele yenu. Harakisheni, kwa maana anakuja mjini leo, sababu leo watu wanatoa dhabihu zao mahali pa juu. |
7917 | 1SA 26:9 | Daudi akamwambia Abishai, “Usimwangamize; kwa maana nani awezaye kunyoosha mkono wake dhidi ya mtiwa mafuta wa BWANA na asiwe na hatia?” |
14859 | PSA 60:8 | Mungu ameongea katika utakatifu wake, “Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na kuligawa bonde la Sukothi. |
15817 | PSA 108:8 | Mungu ameongea katika utakatifu wake; “Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na nitalipima bonde la Sukothi. |
21425 | EZK 35:12 | Hivyo utajua kwamba mimi ni Yahwe. Nimeyasikia matukano yako yote uliyasema dhidi ya milima ya Israeli, uliposema, “Wameharibiwa; wametolewa kwetu tuwale. |
25022 | LUK 1:60 | Lakini mama yake akajibu na kusema, “Hapana; ataitwa Yohana.” |
25136 | LUK 4:4 | Yesu akamjibu, “Imeandikwa; 'mtu hataishi kwa mkate pekee.” |
27354 | ACT 10:26 | Lakini Petro akamwinua na kusema “Simama; mimi mwenyewe pia ni mwanadamu.” |