11542 | 2CH 17:14 | Hapa ni rodha yao, wamepangwa kwa majina ya nyumba za baba zo: Kutoka Yuda, maakida wa maelfu; Adna yule jemedari, na pamoja naye wanaume wa kwenda vitani 300, 000; |
11543 | 2CH 17:15 | akifuatiwa na Yehonani jemedari, na pamoja naye wanaume 280, 00; |
13942 | JOB 42:16 | Baada ya haya, Ayubu aliishi miaka 140; aliwaona wana wake na wana wa wanawe, hata kizazi cha nne. |
26978 | JHN 21:11 | Basi Simon Petro akapanda na kuukokota ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa, kiasi cha samaki 153; japo walikuwa wengi, ule wavu haukuchanika. |