18861 | ISA 58:5 | Kwa uhalisi aina ya mfungo huu ndio ambao ninauhitaji: Siku ambayo kila mtu hunyenyekea mwenyewe, huinamisha kichwa chake chini kama mwanzi, na hutawanya mavazi ya magunia na majivu chini yake? Je kweli unauita huu ni mfungo, siku ya kumfurahisha Yahwe.? |
25485 | LUK 11:11 | Ni baba yupi miongoni mwenu, mwanaye akimuomba samaki atampa nyoka badala yake.? |
25542 | LUK 12:14 | Yesu akamjibu, ni nani aliye niweka kuwa mwamuzi na mpatanishi kati yenu.? |
25569 | LUK 12:41 | Petro akasema, “Bwana, watuambia sisi wenyewe hii mifano, au unamwambia kila mtu.? |
26236 | JHN 4:11 | Mwanamke akajibu, “Bwana hauna ndoo ya kuchotea, na kisima ni kirefu. Utayapata wapi Maji ya Uzima.? |
26326 | JHN 5:47 | Kama hamuamini maandiko yake, mtawezaje kuamini maneno yangu.? |