Wildebeest analysis examples for:   swh-swhulb   —    February 11, 2023 at 19:39    Script wb_pprint_html.py   by Ulf Hermjakob

2542  EXO 35:10  Kila mwanaume mwenye ustadi kati yenu aje na afanye kila kitu ambacho Yahweh aliyaamuru
4310  NUM 19:20  Lakini yule atakayebaki najisi, anayekataa kujitakasa mwenyewe huyo mtu ataondolewa kutoka kwenye jamii, kwa sababu amepanajisi patakatifu pa BWANA. Hajanyunyiziwa maji ya utakaso; atabaki najisi.
11751  2CH 26:14  Uzia akaandaa kwa ajili yao—kwa ajili ya jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, deraya za majini, nyuta, na mawe ya kurusha.
11932  2CH 33:19  Katika matukio hayo kuna historia ya maombi yake, na jinsi Mungu alivyoguswa na maomabi hayo. Pia kuna kumbu kumbu ya dhambi zake zote na makosa yake, na sehemu ambako alikuwa amejenga sehemu za juu na kuzisimamisha Maashera na sanamu za kuchonga, kambla ya kujinyenyekesha mwenyewe na imeandikwa kuhusu hayo katika tarehe ya waonaji. (Maandishi ya kale yanasema hivi, “tarehe ya Hozai,” ambayo ni maandishi ya kifungu asili. Lakini matoleo mengi ya kisasa yamesahihisha na kusomeka “tarehe ya waonaj” Pia, matoleo machache ya kisasa yanasema “tarehe ya waonaji”.).
11963  2CH 34:25  Kwa sababu wamenisahau na wametoa sadaka za uvumba kwa miungu mingine, ili kwamba waniweke katika hasira kwa matendo yote waliyofanya kwa hiyo hasira yangu itamiminwa juu ya hii sehemu, na haitazimishwa. (Badala ya “ambayo yamemiminwa juu yetu”, baadhi ya matoleo yana “amabyo yamemlikwa zidi yetu”.)
19000  ISA 66:9  Ninawezaje kumleta mtoto azaliwe na nisimruhusu mtoto azaliwe? Yahwe auliza? au Je ninamleta mtoto wakati tu wa kujifungua na halafu nimshikilie tena - anauliza Yahwe.''
19012  ISA 66:21  Baadhi ya vitu hivi nitavichagua kama makuhani na walawi asema Yahwe.
19646  JER 26:5  kama hamsikilizi maneno ya watumishi wangu manabii ambao naendelea kuwatuma kwenu—lakini hamjasikiliza!
29028  2CO 9:4  Vinginevyo, kama mtu yeyote wa Makedonia akija pamoja nami na kuwakuta hamjawa tayari, tungeona haya sisemi chochote kuhusu ninyi—kwa kuwa jasiri sana katika ninyi.
30693  1JN 5:2  Kwa hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu tunapompenda Mungu na kutekeleza amri zake.
30702  1JN 5:11  Na ushuhuda ndio huu kwamba Mungu alitupa uzima wa milele, na uzima huu umo ndani ya Mwanawe.
30704  1JN 5:13  Nimewaandikia haya mweze kujua kwamba mnao uzima wa milele ninyi mnaoamini katika jina la Mwana wa Mungu.
30706  1JN 5:15  Na kama tunajua kwamba hutusikia chochote tumwombacho tunajua kwamba tunacho hicho tulichomwomba.
30707  1JN 5:16  Kama mtu amwonaye ndugu yake anatenda dhambi isiyopelekea kifo, yampasa kuomba na Mungu atampa uzima. Ninasema kwa wale ambao dhambi yao ni ile isiyopelekea kifo Kuna dhambi ipelekeayo kifo sisemi kwamba anapaswa kuomba kwa ajilli ya dhambi hiyo.
30708  1JN 5:17  Uasi wote ni dhambi lakini kuna dhambi isiyopelekea kifo.